Prime Minister, Mizengo K Pinda

Pinda adresssing....

 

TANGAZO LA MKUTANO WA WANACHAMA NA MRAJISI WA USHIRIKA

Ndugu mwanachama SUGECO inakutangazia Mkutano Mkuu maalumu wa kuthibitisha majina ya wajumbe wa bodi ya ushirika kama yalivyo pendekezwa awali na kuridhiwa na wanachama kupitia platform hii. Kwa mujibu wa sheria ya ushirika no. 6 ya 2013 ili wajumbe hao

MAFUNZO YA UZALISHAJI UYOGA

NDUGU  WANACHAMA, tunapenda kuwafahamisha  kuwa Mafunzo ya uyoga yatafanyika kuanzia tar 13-17/04/2015 katika ofisi za sugeco (exactly venue to be communicated at DAEA). Mafunzo haya yatakuwa na vipindi vya theory na practical, muda mwingi utatumika kwa practicals. practicals zitafanyikia mazimbu

ENTREPRENUERSHIP OPPORTUNITY

The project overall objective is to reduce youth unemployment through entrepreneurship education promoting self-employment as an alternative career option, in line with the National Development Policy on SMEs. The specific objective is to strengthen the informal sector in a private-sector

Rais Kikwete Afurahishwa na Mpango Mpya wa Ajira na Uwezeshaji kwa Vijana

Rais Kikwete Afurahishwa na Mpango Mpya wa Ajira na Uwezeshaji kwa Vijana Ataka mapendekezo ya kuupanua Mpango huo yawasilishwe haraka Baraza la Mawaziri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameitaka Wizara ya Kazi na Ajira kuwasilisha haraka iwezekanavyo